OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naziona sana aina hii ya nguo, ama kwenye mwili wa mwanamke au madukani.
Kitamaduni nguo hii ni maalumu kwa ajili ya kuuficha uchi ili usionekane kirahisi na kuutia joto ubaki na vuguvugu.
Naona kama maana ya vazi hili imepotea. Zinavaliwa nyavu ambazo uchi unaonekana moja kwa moja bila kificho