Kazi ya chupi sio kuficha sehemu za siri tena?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Naziona sana aina hii ya nguo, ama kwenye mwili wa mwanamke au madukani.
Kitamaduni nguo hii ni maalumu kwa ajili ya kuuficha uchi ili usionekane kirahisi na kuutia joto ubaki na vuguvugu.
Naona kama maana ya vazi hili imepotea. Zinavaliwa nyavu ambazo uchi unaonekana moja kwa moja bila kificho
 
ambazo ziko transparent kama hizo zinavaliwa na suruali either ni Jean's au kadet,
 
Bora hizo,me nmeshakutana na chupi(transparent) nikajua hajavaa chupi ile nataka kuzama chumvini nkajikuta nimelamba kitu kama mpira...
Kidogo nitoke nduki,manzi alinicheka mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chupi 🙄 hili vazi silipendi basi tu.....siuonagi hata umuhimu wake ukiachana na zile siku nzuri, hazina kazi kubanwa tu na kuleteana joto bila sababu
 
Zinazuia mbu wasile kitumbua kikapata malaria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…