Kazi ya huu mfuko ni nini? Nimechoka kujifanya najua

Kazi ya huu mfuko ni nini? Nimechoka kujifanya najua

Nakumbuka kimfuko hicho enzi hizo nilikuwa nasundia vipesa vyangu ninavyopewa na wazazi, basi nashindia Hadi kimfuko kinakuwa kimetuna.
 
Huo ni mfuko wa Majanga na maombolezo
inshort ukifiwa unalilia humo
 
Kuna siku ktk pita pita nikaingia club moja kupata moja moto.


Kwa Wallet nilikua na afu sabini mfuko wangu sikuuamini, nikatoa nikaweka kwa hko kimfuko kisha wallet nikaiacha tupu.


Nafika geto wallet siioni.
nikatamani hiko kimfuko nikinunulie KONYAGI kiburudike.
 
Back
Top Bottom