Kazi ya kufundisha

Kazi ya kufundisha

SHULE YA AWALI NA MSINGI CACEJES DAR ES ALAAM

INAWATANGAZIA NAFASI YA KAZI KWA MASOMO YA FUATAYO,

1. Mathematics 3-7
2. Science 3-7
3. English language 3-7
4. Social studies
5. CME 5-7.

Usaili utafanyika kuanzia saa nane mchana. Tarehe 18/12/2024

TAFADHALI NJOO NA VYETI VYA TAALUMA HALISI PAMOJA NA NAKALA MOJA YA KILA CHETI , BARUA YA MAOMBI YA KAZI NA NAKALA MOJA YA "CV" Kipaumbele mwalimu wa Cheti na diploma.

TUTAFUTE KWA NAMBA

0655010377

Posho ni laki Mbili
OFFER shule itakupangia chumba, hela ya kujikimu unapoanza Kazi kwa Muda wa myezi (3).
 
Nimekop Tu na ku.paste so sina majib yeyet km utakuw na maswl ambay hayan majib kupitia hio meseji .
Over
 
Back
Top Bottom