Kazi ya kuzibua vyoo mshahara 1M/month au kazi ya ofisi nzuri mshahara 500k, utachagua ipi?

Nendeni ulaya muone wanaobeba taka, kuzibua vyoo au kuogesha na kutawaza vibabu wanavyopiga hela.

Watu ikifika jioni wanawasha ma range rover yao wanarudi maskani. Saa hyo unamuona mall utamjua kwani ?? [emoji16][emoji16]
 


Nyinyi ndio huwa mnapotosha watu kwa kupiga hesabu za kuzidisha 30, siku hazilingani ndugu
Mitaa ninaoishi mimi nina miezi hakuna kuona gari la kuzibua maji wala wazibua maji

Hiyo mitaa unayoifikiria wewe ni mitaa ambayo hawana vyooo
 
Fanya kazi unayoipenda hata kama unapata 200, jambo la muhimu ni kuwa na furaha na kazi yako

Unaweza ukawa unalipa milion 100 lakini haufurahii kazi yako, hilo ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…