Kazi ya mama lishe imekuwa inazalisha asilimia kubwa ya mabinti wasiyoolewa.
Wanazaa wakiwa hapo na wanalea wajukuu hapo bila kuolewa, wengi huwa ni vimada tu na tabia hii huanzia kwa mama zao hawa mabinti wengi hawajaolewa wamezaa na waume za watu ama wamezalishwa tu na kulea watoto.
Anayebisha hili afanye tafiti atagunduwa nisemayo.