TamaaKinachokutuma kumzalisha huyo binti ni nn ? Na huna muda wa kumuoa au kulea,, ??
Tujadiliane hapa🔨Kinachokutuma kumzalisha huyo binti ni nn ? Na huna muda wa kumuoa au kulea,, ??
Basi bora kujua Kinga mapema, maake tunazalisha mabinti wengi na watoto wasio na baba,,Tamaa
Naaam nakuskiza,,Tujadiliane hapa🔨
ughee?Sasa katoto kakizaliwa kwa mama ntilie kana uhakika wa kula ughee enitaimu, shida ntunii
Kweli ni shida sana.Ni kazi inayowalazimisha mabinti wengi kujiuza
Wateja wengi wanaweza order wakijenga mazoea na mabinti wasaidizi, binti akiwa na msimamo wanasema mkali hawanunui, na mama ntilie akiona binti flani hapewi order wanamtimua kurudi kijijini
metembea maeneo mengi nimeona.Unatakwimu zozote za kitafiti kuhusu jambo hilo? Na hizo tafiti zilifanywa na nani? au unazungumza tu kwa hisia zako?
Ukimtoa mama lishe, hao wanaowazalisha mabinti bila kuwaoa ni kina nani? Je hao wako sahihi?
Kazi huwa inalea tabia? au tabia inatokana na malezi?
Karibu kwa mjadala.Tujadiliane hapa🔨
Ni kweli, umetembea na umeona lakini je, kuona peke yake bila kuelewa ni kuona kweli?Nimetembea maeneo mengi nimeona.
Utafiti wako hujakamilika, rudi field ukafanye utafiti wa kina juu ya ongezeko la single parent (single mother & single father), Kayanda kutooa na Wasimbe kutoolewa. Hii notion unaoleta hapa bila nyaraka ya utafiti au reference kutoka kwenye journal ni mbaya kuwasingizia Mama ntilie ni kazi mbaya wakati wengine wamesomesha hadi vyuo vikuu kwa kazi hiyo kwa kifupi acha ujinga. Ni wangapi hawajaolewa au kutooa kwa sababu ya mmonyoko wa maadili, usagaji, ushoga, maisha magumu, kwa utofauti wa dini, walibakwa, trauma mbalimbalink?Kazi ya mama lishe imekuwa inazalisha asilimia kubwa ya mabinti wasiyoolewa.
Wanazaa wakiwa hapo na wanalea wajukuu hapo bila kuolewa, wengi huwa ni vimada tu na tabia hii huanzia kwa mama zao hawa mabinti wengi hawajaolewa wamezaa na waume za watu ama wamezalishwa tu na kulea watoto.
Anayebisha hili afanye tafiti atagunduwa nisemayo.
Kwenye aina za kazi ambazo watu waje wengi hwsjaolewa wanatembea tu na waume za watu na kuzaa nao na kules wajukuu hapo ni hawa.swala la kusomedha ni lingine mi sijazungumzia kipato.Utafiti wako hujakamilika, rudi field ukafanye utafiti wa kina juu ya ongezeko la single parent (single mother & single father), Kayanda kutooa na Wasimbe kutoolewa. Hii notion unaoleta hapa bila nyaraka ya utafiti au reference kutoka kwenye journal ni mbaya kuwasingizia Mama ntilie ni kazi mbaya wakati wengine wamesomesha hadi vyuo vikuu kwa kazi hiyo kwa kifupi acha ujinga. Ni wangapi hawajaolewa au kutooa kwa sababu ya mmonyoko wa maadili, usagaji, ushoga, maisha magumu, kwa utofauti wa dini, walibakwa, trauma mbalimbalink?