Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hivi ushawahi penda msichana hadi mkiwa church unamlipia sadaka...unaweka kwa kikapu alafu unamwambia mchungaji kwa ishara ya vidole kuwa sadaka uliyotoa ni."Ya wawili? "..[emoji14][emoji14][emoji14]ikifikia hatua hii basi ujue kazi ya moyo ni kusukuma CHAPATI
�����
�����