Mawazo mazuri ila yamejaa upotovu Mungu atusaidie vijana wako wanaangamiaMatukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni.
Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake?
Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa.
Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au usimamizi- lakini kwa document sahihi tu na mikataba iwe na manufaa, saa za kazi zilizowekwa/likizo za kulipwa na wakilipwa mshahara wa kila mwezi.
Kuwe pia na Ukaguzi wa mara kwa mara wa afya za wafanyakazi ili kuepusha magonjwa. Serikali pia iwape Wafanyabiashara ya ngono ulinzi na kuhakikisha haki zao zinazingatiwa mf. malipo.
Ninamaanisha -Iitwe KAZI ya ngono.
Baada ya yote, serikali pia itakusanya kodi([emoji1787]wasitusumbue na tozo)
Matukio ya ubakaji yataisha
Afya itakua imezingatiwa kwenye biashara hii...nk
Nawasilisha^
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili za usiku ni za kipekee sana.
Usiombe mtu akuambie una akili za usiku.
๐คฃMlete mdhungu....[emoji28]View attachment 2373226
Umewaza nini mkuu mpaka kutaka hii dhambi iwe halali?Unakubali nn?
Vijana acheni kunywa K vant, zinaharibu akilia aiseeMatukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni.
Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake?
Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa.
Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au usimamizi- lakini kwa document sahihi tu na mikataba iwe na manufaa, saa za kazi zilizowekwa/likizo za kulipwa na wakilipwa mshahara wa kila mwezi.
Kuwe pia na Ukaguzi wa mara kwa mara wa afya za wafanyakazi ili kuepusha magonjwa. Serikali pia iwape Wafanyabiashara ya ngono ulinzi na kuhakikisha haki zao zinazingatiwa mf. malipo.
Ninamaanisha -Iitwe KAZI ya ngono.
Baada ya yote, serikali pia itakusanya kodi([emoji1787]wasitusumbue na tozo)
Matukio ya ubakaji yataisha
Afya itakua imezingatiwa kwenye biashara hii...nk
Nawasilisha^
Ungekua unajua madhara yangonoVijana acheni kunywa K vant, zinaharibu akilia aisee
Matukio ya watu kupigwa miaka 30 au kifungo cha maisha jela yamekua mengi.Umewaza nini mkuu mpaka kutaka hii dhambi iwe halali?