Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Kama watu elimu yao ni ndogo,kama watu wakivuta bangi,basi, inevitably wataleta fujo na Polisi ni kazi yao kuhakikisha kwamba inakuwepo law and order.
Kwa sababu ikifika mahali kwamba watu wanaona kwamba hawalindwi ins maana kwamba lazima wajilinde wenyewe. Na watu wakianza kujilinda wenyewe hilo ni jambo ambalo lazima litarudisha nyuma maendeleo.
Kwa sababu itaamanisha hakuna Division of Labour,kila mtu anataka kufanya kazi ya mtu mwingine.
Ni kama mpishi akienda livu na inakubidi upike mwenyewe.
Utaona siku hizi watu wanasema,"Unajisumbua bure,hao polisi nimewaweka mfukoni,usisumbuke kwenda kunishtaki Polisi."
Kwa hiyo Sheria ya kwanza watu waache kuua.
Sheria ya pili watu waache kuiba.
Sheria ya tatu watu waache kuzini.
Sheria ya nne watu waache kusema uongo.
Sheria ya tanu,watu waache ulevi na bangi.
Sheria ya sita lazima iwepo mechanism ya kuyaondoa haya matatizo yanapotokea. Isiwe kwamba makosa yakitokea, yanaendelea kutokea na yanazidi kuwa mengi.
Isiwe kama taka zinaporundikana barabarani kwa ajili hakuna wafagizi.
Kwa hiyo impunity ni tatizo,kama Ile video clip ya jana nilikuwa naona Lissu anaongea.
Sasa mtu mkubwa sijui anaweza kuwa na sababu gani ya kufanya makosa.
Makosa yanafanywa na ignorant,unevolved people.
Kwa hiyo watu waishi vizuri at the grass roots,huku katika level za chini,ili yasitoker matatizo ambayo yatawalazimu kwenda mahakamani.
Sheria ya mwanadamu ni Injili.
Matatizo yetu yote yanatokea kwa sababu watu wanafikiria kwamba ipo Sheria nyingine.