kishanshuda
Member
- Feb 25, 2011
- 73
- 11
Mimi ni binti mhitimu mwaka 2010 wa BA in Mass com specialized in PR, from SAUT nahitaji msaada wenu katika kupata KAZI/ AJIRA ya PR hata communications pia, nafasi za mikoani ni nzuri zaidi kwa upande wangu (yaani si Dar-es-salaam),kwa sasa niko Mwanza. Nisaidieni tafadhali wana JF.....napenda fanya hii kazi sababu naipenda sana tena toka moyoni kabisa na nina imani nitaweza na nitaifanya kwa ufanisi mkubwa pale nikipata nafasi. NAWAKILISHA