Uchaguzi 2020 Kazi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni nini?

Uchaguzi 2020 Kazi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni nini?

NEC imegeuka kuwa baraza la mitihani NECTA..[emoji23][emoji23] Tanzania tuna safari ndefu sana katika kupiga hatua za kimaendeleo na kuleta usawa...CCM wamejaza watu wao kila mahali na kila taasisi lengo na makusudio ni kuhakikisha wao wanabaki madaraka in any means.
 
Hii NEC mimi nilikuwa naichukulia Kama Taasisi ya kuimarisha demokrasia nchini.

Lakini sasa naona inatumika kama rungu la kudhiti ukuaji na uimarishaji wa demokrasia nchini. Haiwezikani Tume iliyowekwa ili kuratibu na kusimamia kwa usawa ushindani wa vyama vya siasa, ikatumika kuengua watu ili kukipa mteremko Chama fulani...
Fomu za wagombea wa majimbo na wa viti maalum almost the same cha ajabu fomu za wagombea viti maalum sijasikia hata moja iliyokosewa
 
Kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi - ama kwa wagombea kupita bila kupingwa, ama kufutwa matokeo na kutangaza uchaguzi mwingine, ama kuwawekea mapingamizi wagombea wa upinzani kwa barua feki kama kule Pemba kwa ACT, ama kumtangaza mgombea wa CCM kama mshindi hata kama hakushinda, nk nk.
Kwani kazi ya NEC ni nini?
 
Back
Top Bottom