Hii NEC mimi nilikuwa naichukulia Kama Taasisi ya kuimarisha demokrasia nchini.
Lakini sasa naona inatumika kama rungu la kudhiti ukuaji na uimarishaji wa demokrasia nchini. Haiwezikani Tume iliyowekwa ili kuratibu na kusimamia kwa usawa ushindani wa vyama vya siasa, ikatumika kuengua watu ili kukipa mteremko Chama fulani...