Kazi ya Ualimu ni kama CHUMVI kwenye MBOGA mara zote haikosi lawama, ikizidi utasikia chumvi imezidi! ikipungua utasikia chumvi kidogo! usipoweka ndo kabisaa Zogo! Ishakuwa karaha sasa Wanafunzi wakifaulu wengi raia husema wameoneshwa majibu, Wakifeli malalamiko Walimu hawafundishi he!
Mwlalimu jitambuwe wewe ni kama CHUMVI fanya kazi tu Lawama ni sehemu ya maisha Yako Na Mshahara wako mdogo kama bei ya CHUMVI.
Pole sana mwlalimu