Kazi ya ualimu kama chumvi kwenye mboga

Kazi ya ualimu kama chumvi kwenye mboga

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
Kazi ya Ualimu ni kama CHUMVI kwenye MBOGA mara zote haikosi lawama, ikizidi utasikia chumvi imezidi! ikipungua utasikia chumvi kidogo! usipoweka ndo kabisaa Zogo! Ishakuwa karaha sasa Wanafunzi wakifaulu wengi raia husema wameoneshwa majibu, Wakifeli malalamiko Walimu hawafundishi he!

Mwlalimu jitambuwe wewe ni kama CHUMVI fanya kazi tu Lawama ni sehemu ya maisha Yako Na Mshahara wako mdogo kama bei ya CHUMVI.
Pole sana mwlalimu
 
Dah! Na kweli ila walimu wengi wa kike wanasifika wife material sijui ni kweli?
 
Kazi ya Ualimu ni kama CHUMVI kwenye MBOGA mara zote haikosi lawama, ikizidi utasikia chumvi imezidi! ikipungua utasikia chumvi kidogo! usipoweka ndo kabisaa Zogo! Ishakuwa karaha sasa Wanafunzi wakifaulu wengi raia husema wameoneshwa majibu, Wakifeli malalamiko Walimu hawafundishi he!

Mwlalimu jitambuwe wewe ni kama CHUMVI fanya kazi tu Lawama ni sehemu ya maisha Yako Na Mshahara wako mdogo kama bei ya CHUMVI.
Pole sana mwlalimu

hahahaha,mdau me naifurahia sana hii kazi,na hata nikija fanya kazi nyingine,ntajitambulisha as mwalim,pia walim nawakumbusha FUNDISHA Kadiri ULIPWAVYO=FUKU
 
Back
Top Bottom