Kazi ya ualimu na changamoto zake vijijini

Kazi ya ualimu na changamoto zake vijijini

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
18,611
Reaction score
27,615
Kazi ni nzuri hasa kama uliisomea na kupata cheti. Unaomba ajira na unapata kisha unapangiwa shule iliyoko katika halmashauri ambayo hujawahi kufika.

Unaenda kuishi maisha kulingana na eneo hilo. Jamii ya pale itategemea mapya kutoka kwako.

Changamoto ziko nyingi ikiwepo kumezwa na mazingira typically badala ya kuyatawala mazingira, mazingira ndiyo yanakutawala
 
hizo ulizo zitaja ndiyo changamoto za hiyo kazi?
 
Kuna suala la mawasiliano na usafiri kutoka wilayani kwenda kwenye kituo cha kazi ni shughuli pevu kwa baadhi ya vijiji ni shughuli pevu. Kuwaona wakaguzi inaweza chukua mwaka mzima. Ratiba ya kufundisha ipo tu haifuatwi, unafundisha darasa unalotaka, kipindi kimoja kinatosha
 
Kazi ni nzuri hasa kama uliisomea na kupata cheti. Unaomba ajira na unapata kisha unapangiwa shule iliyoko katika halmashauri ambayo hujawahi kufika. Unaenda kuishi maisha kulingana na eneo hilo. Jamii ya pale itategemea mapya kutoka kwako. Changamoto ziko nyingi ikiwepo kumezwa na mazingira typically badala ya kuyatawala mazingira, mazingira ndiyo yanakutawala
Kwa hiyo wewe ulijua Tanzania ni Dar, Mwanza, Mbeya na Arusha peke yake? Mbona kuna watu wanaishi huko kijijini miaka nenda rudi na hawafi mkuu? Komaa mtoto wa kiume.
 
Kuna suala la mawasiliano na usafiri kutoka wilayani kwenda kwenye kituo cha kazi ni shughuli pevu kwa baadhi ya vijiji ni shughuli pevu.Kuwaona wakaguzi inaweza chukua mwaka mzima.Ratiba ya kufundisha ipo tu haifuatwi, unafundisha darasa unalotaka,kipindi kimoja kinatosha
Elimu ya serikali ya viwonder
 
Kuna suala la mawasiliano na usafiri kutoka wilayani kwenda kwenye kituo cha kazi ni shughuli pevu kwa baadhi ya vijiji ni shughuli pevu.Kuwaona wakaguzi inaweza chukua mwaka mzima.Ratiba ya kufundisha ipo tu haifuatwi, unafundisha darasa unalotaka,kipindi kimoja kinatosha
Ajira zote za saivi wengi wamepangwa vijijini tu. Wote ni Dc tu
 
Hahaha we utakua umepata kaz ya ualimu na umepelekwa kijijin Sasa ukikumbuka msoto kuiacha unashindwa.

Vjana wengi hatupend kufanya kaz vijijin lakin kule Kuna fursa nyingi unaweza kuona kijijin ni changamoto kwasababu hutak kulima, na matumain yako ilikua ukipata kaz ule bata matokeo yake kaz imekupeleka kijijin hata umeme hamna na mjini ni mbali zaid ya 60KM
Mazingira mengi ya shule za kata za vijijin utazikuta sehemu hakuna bar wala hoteli ya kifahari usafir ni washida mkombozi ni pikipik tu, wewe mwalm ndo unaonekana tajiri, hivyo lazma upate changamoto mwanzoni lakin badae utazoea na utakua mkulima mzuri.
 
Kuna maeneo mengine serikali ilibidi tu iwajengee shule wananchi wake huko waliko kwenye shughuli zao za ukulima,ufugaji na uvuvi.Maeneo mengine hakuna barabara ya kueleweka kufika huko. Vijiji vingine vinaathiriwa na jiografia,ama vipo juu milimani, mabondeni,kwenye delta za mito au viko visiwani ambapo miundombinu kama barabara hakuna,kutoka wilayani unaanza kusafiri kwa gari,bodaboda,mtumbwi,unamalizia kwa miguu
 
Hoja ni kwamba unaomba kazi kama hii ya ualimu,muajiri ni serikali,ina shule nyingi hususani vijijini,muajiri anapanga kupeleka walimu shule zote zenye upungufu,nyingi ziko vijijini.Ni shughuli pevu kwenda kuanza maisha kijijini huku ukiwa umezoea mjini. Kule hakuna starehe za mjini,sana kama ni mnywaji utajikuta unaungana na wenyeji kunywa pombe za kienyeji,heshima itashuka wanakijiji watakuzoea
 
Kazi ni nzuri hasa kama uliisomea na kupata cheti. Unaomba ajira na unapata kisha unapangiwa shule iliyoko katika halmashauri ambayo hujawahi kufika.

Unaenda kuishi maisha kulingana na eneo hilo. Jamii ya pale itategemea mapya kutoka kwako.

Changamoto ziko nyingi ikiwepo kumezwa na mazingira typically badala ya kuyatawala mazingira, mazingira ndiyo yanakutawala
Kama umepangwa kijijini kamata baby mmoja mliopangwa wote wowa usichelewe mkuu atatiwa mimba na bodaboda af wewe utaangukia kwa form four leaver au lasaba kisha msoto unakusogelea taratibu.Hao walimu uliopangwa nao ni fursa usiichezee, nakuasa usiichezee, wale wachimba wa mtaani kwenu futa kabisa namba zao weka blacklist utakuja kunishukuru.Walimu huaribu maisha yao wao wenyewe nakuasa Mimi mjomba wako nilieishi vijijini miaka kenda
 
Umeongea kitu kikubwa mno
 
Kuna ndugu yangu amepangiwa shule iko huko Ludewa na yeye anatokea Butiama na Ludewa si mjini hiyo shule iko kata ya Manda miezi minne iliyopita nilikuwa Ludewa na hicho kijiji wenyeji wanasema kutoka Ludewa mjini kwenda hapo ni kama elf5 aisee

Anagalia safari yake itakavyokuwa ndefu

Kijijini anapotoka hadi msoma mjini Elfu3, 500 m/mjini hadi mwz elf8000, mwz hadi Makambako elf45000-50000, Makambako hadi Njombe mjini elf2500 Njombe mjini hadi Ludewa elf12,000 Ludewa hadi hadi hapo ni elf5000

Angali hapo mkuu
 
Back
Top Bottom