Kazi ya ualimu na dhana potofu miongoni mwa jamii yetu ya kitanzania

Kazi ya ualimu na dhana potofu miongoni mwa jamii yetu ya kitanzania

Setty sanga

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
15
Reaction score
3
Awali napenda kutumia nafasi hii kuweza kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutujalia afya tele baada ya kufanya aya machache ningependa kuchukua nafasi kuelezea dhana potofu iliyojengeka miongoni mwa tanzania juu ya swala la mtu aitwapo mwalimu au yule anayesomea kuwa ni mwalimu kutazamwa ni mtu aliye feli na hapaswi kuwa mwalimu ningependa kukataa kauli hiyo kwa nguvu zote kwani kwa mujibu wa mfumo wa elimu nchini na ata wizara inapo tangaza matokeo ya kidato iv na sita anaye tazamwa ame feli ni yule mwenye zero na ufaulu umewekwa ktk madaraja yake na sifa ya mtu kulingana na ufaulu wake wapi aende haimani kwamba kuendelea na elimu ya juu ndio ufaulu wa kishindo mbona uyu ana credit tatu na uyu ana divis one wote wana wanasoma elimu juu lakini uyu mwenye four ya 27 anasoma walimu je? Mnamzungumuziaje aliye na four 29 mbaka ziro uyo atakuwaje mtamwitaje ndugu watanzania walikaa watu wenye akili zao wakachambua uwezo wa mtu anayeweza kuwa mwalimu mzuri na akafundisha jamii si vema kuwatukana walimu jambo linawafanya kuichukia kazi yao na kufanya walimu kutoheshimiwa na wanafunzi madaktari wanasiasa wakulima mafundi walifundishwa na mwalimu mbaka hapo walipo kwenye mafanikio msingi wa kila jambo ni elimu na wakala mkuu wa elimu ni mwalimu heshimu walimu nchini kwako.
 
Ualimu ni kazi ya kitaaluma kwani anayeenda sifa zimezingatiwa ukisema walimu ni watu walio feli unakuwa unawatukana pasipo kufikili viongozi wengi enzi za nyerere walikuwa ni walimu na ndio walio ifikisha nchi hapa wakina mwalimu julias kambarage nyerere na bado walimu wanaendelea kuwaanda watoto wadogo uku chini si mchezo ni kazi inayoitaji uzalendo mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom