Kazi ya ualimu yataka moyo

Kazi ya ualimu yataka moyo

well said!! Tena kwa upande wa mshahara walimu wanamshahara mkubwa kuwazidi baadhi ya watumishi wengine,mfano mwalim mwenye degree anayeanza kaz kwa scale ya TGTS D mshahara wake ni mkubwa zaidi ya mtumishi mwenye degree ya social sciences ambaye siyo mwalimu anayeanza kaz kwa scale ya TGS D
Asante mkuu tukiangalia vitu kwa mtazamo huu lazima tutatoka kimaisha lakini ukibaki unanung'unika bila way forward utaishia kuwa na sura ya majonzi hata promotion ya kukaimu afisa elimu wa wilaya hupati (si unajua hata wanaopata nafasi za kukaimu huwa na sura zao zinaongea zinakuwa na bashasha)
 
Wenzio Nmb tushaula nshasahau hivi ulitoka lini vilee?nikumbusheni daah!!!
 
Back
Top Bottom