Kazi ya ualimu

Kazi ya ualimu

Rev J

Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Wanajamii natafuta kazi ya kufundisha sekondari au vyuo vya ualimu binafsi.Nina diploma na bachelor ya elimu kwa masomo ya lugha(kiswahili na kiingereza).Nipo Shinyanga.
 
uko tayari kulipwa ka part time teacher??
 
Kajaribu singida teachers college kipo safi na wanahitaji permanent.
 
Back
Top Bottom