Kazi ya ualimu

Kazi ya ualimu

kipara feki

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
231
Reaction score
210
Kwa niaba ya rafiki yangu anatafuta kazi ya kufundisha shule ya msingi yenye mchepuo wa kiingereza (english medium primary school) katika mikoa ifuatayo mbeya, iringa na njombe. Amehitimu mafunzo ya ualimu mwaka huu nawasilisha hoja. Karibun wote kuchangia hoja.
 
Anajua Kiingereza au anataka kuleta longolongo? Kama hajui Enhlish vizuri aende kwa Kawambwa huku kwenye EMPS ataumbuka
 
Back
Top Bottom