Kazi ya Ubaharia

Kazi ya Ubaharia

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316
Jamani wakuu...ivi kazi ya ubaharia ni nini hasa? Huyu Willy naona anajisifia kuwa ni baharia. Je ni kazi gani hasa hiyo?
 
Ni kazi ya melini, yaani kufanya kazi kwenye meli inayosafiri, kuanzia kusongesha chombo, ufundi, upishi na nyinginezo. Back in time, kuwa baharia ilikuwa ndoto ya vijana wengi wa Dar, na baharia alikuwa mjanja kwelikweli kwani walisafiri nchi nyingi duniani.
Huyo Wile anadhani bado tuko enzi zile...
 
Hii kazi inahitaji elimu yeyote? Maana nasikia jamaa kaenda kusomea ubelgiji?hahaha
 
Dar es salaam Marine Institute ndio wanaondesha Course za ubaharia hapa Tanzania,Wapo karibu na wanapopandia Boti ziendazo Zanzibar kwa wachoma makanisa
 
Natafuta kazi, Mimi ni baharia nimesomea chuo cha Dmi Posta upande was engine ninacheti cha rating
 
Back
Top Bottom