Kazi ya udereva costa Dodoma

Kazi ya udereva costa Dodoma

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26.

Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi. Msaada jamani
 
Atafute kazi ya udereva wa gari yoyote, specifical kwa coster mnajifunga wenyewe kukosa kazi kabisa
Na pia ungemshauri hili tangazo alilete mwenyewe, chance ingekua kubwa kupata kuliko recommendation.

Happy New year, mwambie aje hapa capital park tule pilau kwanza.
 
Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26.

Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi. Msaada jamani
Amechagua hadi aina ya gari?Ametisha sana.Kwa hiyo akikuta FIAT hataki?
 
Back
Top Bottom