Kazi ya udereva(V.I.P grade ||)

Kazi ya udereva(V.I.P grade ||)

Una magamba yote hapo kazi uhakika, natamani sana ningejifunza udereva VETA kipindi hiki naona ndo free
 
Jiunge na ajira portal kule utapata kazi za halmashaur, ila pia juzi APA shirika la ndege limetoa ajira wanataka madereva 37,tarura pia wametoa ajira we intake ya ngapi.?
 
Back
Top Bottom