Siku nyingine ficha namba ya leseni.Natafuta kazi ya udereva dar es salaam, dereva mzoefi,mtanashat mwenye vyeti vyote vya udereva
kaka maelezo zaidi apaJiunge na ajira portal kule utapata kazi za halmashaur, ila pia juzi APA shirika la ndege limetoa ajira wanataka madereva 37,tarura pia wametoa ajira we intake ya ngapi.?