Kazi ya udereva wa gari ndogo binafsi au kampuni

Kazi ya udereva wa gari ndogo binafsi au kampuni

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
41
Reaction score
19
Habari!!! Rejea kicha Cha mada hapo juu.

Kwa majina naitwa JOSHUA JAMES. Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam, Mimi ni dereva Wamda mrefu katika uendeshaji na usafirishaji wa gari ndogo.

Nipo mbele yenu Wana jamii forum, kwa lengo lakutafuta Kazi iwe ya kumuendesha mtu BINAFSI, kampuni au connection ya kusafilisha magari madogo sehem mbali mbali ya Tanzania na nje ya Tanzania.

( CV )
1: Elim
Nina B.A in CDS pamoja na Udereva.
2: Uwezo mkubwa wakuendesha gari dogo.
3:Utambuzi wa matatizo ya gari pamoja na ukaguzi.
4: Matumizi ya lugha ya kiswahili na kingereza.
5: pia kutokana elim yangu naweza kufanya shughuri nyengine, kama usahihi wa Matumizi ya computer.
6: Hati ya kusafilia Yani Passport. (Nje ya Tanzania)

Kwa mawasiliano napatikana kwa namba 0627776134/0714016639

Nipo teali kufanya Kazi mda wowote kuanzia Sasa kwa makubaliano ya pande mbili.
 
Back
Top Bottom