Sawa kaka ntazingatia 'uzi wa SERAN' bado sijaelewa hapo na subscribe wapSubscribe Uzi wa SERAN Na Uweke Kambi Hapo, i hope Kabla Mwaka Haujaisha Utakuwa Ushapata kazi. ila Usisahau Kutafuna Karafuu Na Kuweka Chumvi ya Mawe Kwenye Viatu Ukienda kwenye interview.
All the Best.