Kazi ya uhudumu wa bar

[emoji106]

-Ndumilakuwili-
Mkuu unapozungumzia kazi hiyo haina hadhi ughaibuni unazungumzia nchi gani?? Kwa experience yako??
Experience yangu ya South Africa ,New Zealand na Canada ...kazi hiyo ina hadhi...Mfanyakazi wa bar anachukuliwa kama mfanyakazi mwingine yoyote yule .....mteja haendi bar kutafuta Malaya ....na quality za bar zinahitaji mtu aliyeelimika........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapa TZ mwanamke huamua kuwa baamedi tayari akiwa amesharidhia kuwa vilevile atakuwa anagawa uchi kadri atakavyohitajika kwakuwa kabla hajaanza kazi anakuwa amesha ambiwa kabisa ujira atakaokuwa analipwa na boss wake hautakuwa unamtosha hata kwa matumizi yake ya siku 7 lakini hukubali tu kuanza kazi huku akijuwa tu atafidia gape kwa umalaya.

Alafu wamiliki wa baa huamini bila wahudumu wao kuliwa na wateja hakuna biashara. Mkitaka kujirizisha na hili ni sera ya mavazi kazini yaani baamedi haruhusiwi kufanya kazi akiwa amevaa dela, kujifunga kitenge au kavaa sketi ndefu.

Alafu mwanamke hata awe na elimu kubwa vipi lakini akawa si mzuri kiumbo si rahisi kukubaliwa kazi hata kwa kujitolea tu. Wamiliki wanaamini wateja wengi huenda bar kwa kufuata warembo. Huku Bara ili mwanamke upate kazi hiyo lazima uwe mweupe hata kama artificial sawa tu na si mweusi, na akiwa mweusi basi awe na matako makubwa na miguu minene kama hana hivyo hatapata hiyo kazi ndio wale sasa wanaamua kuuza tu nyanya na kuchoma mahindi au kuuza kalanga.

Uwe kule Pwani au uku Bara si rahisi kuwaona wanawake waliojaliwa miili mizuri wakifanya uchuuzi wa kuchoma mahindi alafu ache kwenda bar ambako anauhakika wa kulala na elfu 20 kwa siku.

Siku moja namsikia baamedi mmoja anampigia simu mwezake akimuuliza kama huko alipo hela ipo aende maana alipokuwa hela haipo. Katika kupiganaye story akaniambia yeye hataki dhiki hivyo hawezi kukubari kuwa na hawala wa kudumu atambana ktk utafutaji yeye anataka ukimlipa mnamalizana basi kila mtu ashike 50 zake.

Tusidanganyane hapa TZ mwanamke anaye amua kufanya kazi hiyo ni yule mwenye taamaa ya kupata kipato kikubwa bila kuchomwa jua sasa rahisi kwake ni kuuza uchi bar kwa kutumia siraha ya uzuri wake. Siku hizi bar nyingi huwalipa hawa ndugu elf 2 tu kwa kuuza kreti 1 na boss hakubali kuwa na baamedi wachache ili wauze sana wapate hela nyingi, anawaweka wengi ili kuwapa walevi uwanja mpana zaidi wa kuchagua swala Serengeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…