Kazi ya uhudumu wa bar

Kazi ya uhudumu wa bar

Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.

Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.

Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Nawaheshimu sana wale mabinti na wamekuwa watu wangu wa karibu sana.. Nilianza maisha ya kupanga na mmojawapo enzi hizooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.

Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.

Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Nasikia hata China hawa wadada wa Mjini wakienda kule wanafanya kazi ya kuuza miili zao ili waje kuutesa huku.... Yaani kweli hata mimi huwa nashangaa Wadada wanavyowanyoshea wenzao wakati wakiwa Nje na wao wanafanya kazi ya Uchangudoa...
 
Uhudumu wa Public House mamtoni si uchungu dona, ni kazi inayolipa minimum wage, mhudumu anakausafiri kake anaa park baada ya kazi hata kama ni saa saba usiku anaendesha gari yake home.
 
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.

Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.

Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Wakijifunza kusema NO... na wakawa wachoyo wa K zao... labda hapo wataeleweka. Ukimtongoza baamedi akakukatalia... nenda kaogee magadi utoe nuksi
PIC+MWANDISHI.jpg
 
Wakijifunza kusema NO... na wakawa wachoyo wa K zao... labda hapo wataeleweka. Ukimtongoza baamedi akakukatalia... nenda kaogee magadi utoe nuksi
PIC+MWANDISHI.jpg
Babe kuanzia Leo bar tutakwenda wote
 
Uhudumu wa Public House mamtoni si uchungu dona, ni kazi inayolipa minimum wage, mhudumu anakausafiri kake anaa park baada ya kazi hata kama ni saa saba usiku anaendesha gari yake home.
Umeamua tu kubadilisha jina tu ila huwa ni kazi ya Uchangu Doa uyaani Umalaya wa kujiuza kwa wanaume wa kizungu.... Malipo kuanzia dola 50 to 100..

Halafu huku wanajiona respected
 
Umeamua tu kubadilisha jina tu ila huwa ni kazi ya Uchangu Doa uyaani Umalaya wa kujiuza kwa wanaume wa kizungu.... Malipo kuanzia dola 50 to 100..

Halafu huku wanajiona respected
Sikubadikisha jina mkuu ninakula full package with maternity, sick and holiday pay plus paid training na wanachotaka kutoka kwako no work ethics na punctuality
 
Wao kwanza wajitambue kwamba sio ukipewa ofa ya savana mbili tatu halaf nikikuambia baadae vip unasema kalipe kaunta tuondoke,wao wenyewe ndio tatizo la kufanya kaz huku wanajiuza kimya kimya,kuwasaidia wao sisi wanapaswa kua wagumu wa kutukubali. Ovaa
 
Ukienda kunywa usitongoze
 
Kwanza ni kwa nini hadhi yake kwa Tanzania ipo chini na kule ughaibuni ipo juu? Je, ni kweli huko ughaibuni, ikilinganishwa na nyingine ni sawa?

Kwangu mimi iwe ughaibuni au Tanzania haina hadhi. Na sio wote wanaosoma au waliosoma ughaibuni wamefanya u-barmaid. Wengine wamefanya kwenye mashamba, supermarket na kutandika vitanda na kuhudumia chakula au kuosha vyombo mahotelini mpaka kusafisha vyoo. Kwenye nyumba za wazee na mahospitalini ikiwemo kuokota taka barabarani.

Vyuo vya ughaibuni vinashauri wanafunzi kufanya kazi hizo hili kuongeza uzoefu wa kuongea lugha zao kama Kiingereza na kipato kwa ajili ya kujikimu ambacho sio kikubwa ukilinganisha na hadhi ya kazi yenyewe. Na wengi wenye ufadhili wa masomo ambao sio wa uhakika ndio ufanya kazi hizo bila kujali ni wenyeji au wageni.

Kama kufanya kazi hizo ughaibuni kuna hadhi ya juu, basi wekeni kwenye CV zenu?

Ni kweli kabisa bar-maid ni bar-maid tu haijalishi anatoka eneo gani la dunia..
 
Kazi ni kazi, tatizo sisi wabongo tumeweka mawazo potofu sana tu kwamba wanaofanya kazi bar ni malaya,ama hawana maana yotote ama ni kazi mbovu... tunajua changamoto za bar places especially kwa mwanamke lakini hakuna kazi isyokua na changamoto, haipo hio kazi.duniani hapa, la muhimu ni kwamba unatatuaje hizo changamoto na at the same time ulinde utu wako na uthamani wako...msilinganishe tabia ya mtu na kazi...kila kazi HALALI ina heshima yake..
suala la msingi ni kwamba wamiliki wa hizi bar kwa hapa kwetu wawe wanawaboreshea maslahi hao barmaids na kuwapa mahitaji yao kama wafanyakazi wengine, na sio kuwa treat kama mapunda au kuwafanga sex slaves au kuwatumia kufanya biashara chafu.
Marekani nimeangalia kwa mwaka huu MSHAHARA wa barmaid wa kawaida kabisa analipwa dola 2000 kwa mwezi, hapa bongo ni kama milioni 4 na ushee, mishahara ya mameneja na wenye vicheo cheo kwenye NGO ama public organisation kwetu hapa.
Kama tungekua tunawaboreshea maslahi hivi hata tamaa za kutafuta extra money kwa kufanya uchafu wasingekua nazo.
ndo mana mleta mada naungana nae ni kweli hizo kazi zimewasaidia wengine hata kujilipia ada na hata kuwekeza kwenye biashara.

What goes around always comes around
 
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.

Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.

Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Hapo ulipolinganisha na Ulaya ndo umetia nazi kwenye supu.
Wahudumu wa Bar/Guest/Lodge au hata hoteli bado kwa Tanzania wanaonekana ni "Walewale" hasa kwa wanawake.

Mishahara walipwayo imekua tatizo kwak kujiheshim na kuheshimika.Hutegemea tipu za wateja ili maisha yaende.

Sera ya ofisi husika,kuna ofisi hawa watu hawalipwi kabisa mshahara ila malipo yake yanatokana na BIA/VINYWAJI alivyouza/kuhudumia hili huwalazimu wale watu wajihusishe na NGONO (ndo chanzo cha kudharauliwa hicho).Kuna baadhi ya Bar hapa DSM (Nilipata kuelezwa) mhudumu anapoombwa huduma ya ngono kuna % huenda kwenye ofisi na nyingine huchukua yeye,anapoondoka lazima akabidhi ofisi kwa mwenzie ili kazi ziendelee.

Pia ofisi huwataka wavae nguo za MITEGO.

Hulka,kuna baadhi ya wahudumu wa bar wao kama wao wana hulka ya UMALAYA,ataweza.kufanya afanyavyo lazima tu apate BWANA wa kwenda kulala nae,hili nimelishuhudia mwenyewe.So wanatafuta hizo ajira ili kujificha kwenye kuendelea kufanya UKAHABA.Sasa jamii inayaona yale na jamii yetu imeathiriwa na ile methali "SAMAKI MMOJA AKIOZA...."
Kwa mantiki hiyo basi dhana ya heshima kwa wahudumu wa Bar lazima itakua ndogo

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom