Kazi ya ununuzi na ugavi

Kazi ya ununuzi na ugavi

briophyta plantae

Senior Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
117
Reaction score
132
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,nina diploma ya manunuzi na ugavi kutoka chuo cha utumishi wa umma.
Nina uzoefu wa kutosha kutokana na kufanya kazi sehemu tofauti ikiwemo halmashauri ya busokelo,tarura pamoja na tazara. Pia field nilizozifanya wakati ninasoma chuo.mazingira rahisi kwangu ni arusha na kilimanjaro. Naomba kuwasilisha.asanteni
 
Back
Top Bottom