Fundi mzuri wa kushona nguo za kiume na kike, anahitajika; akiwa ni wakike itakuwa vizuri zaidi.
Malipo:
- 3000 kwa siku + 10% ya faida katika mauzo kwa mwezi
Faida zingine:
- Chai ipo (free)
- Chakula cha mchana kipo (free)
Eneo la kazi: Arusha au Moshi
Kama una huo ujuzi; utakutanishwa na muhusika.