kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
mkuu kuna sehemu nimeandika usome vizuri maelezo nimeandika kwamba lipa zlivyoanza kufungwa tulihamia selcom badae tena tukahamia mlipa saiv tuko sementup.mwaka wa 4 huu wateja washanizoea wakija wananipa simu niwatolee kwahyo sitoe kwenye till ya wakala natolea huko kwngne ili yale makato nibaki nayo kama faida.wazee na wale watu wanaokuwa na haraka sana nawaonyesha namba ya wakala watolee huwa sihangaik nao.Selcom inaingizaje pesa ya ziada mzee ufafanuzi zaid???