RoadLofa JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 1,509 Reaction score 3,313 Jan 5, 2023 #1 KAZI YA UWAKALA WA SOLA Kama unaishi wilaya ya Morogoro vijijini na unahitaji kazi ya uwakala wa sola , naomba tuwasiliane PM
KAZI YA UWAKALA WA SOLA Kama unaishi wilaya ya Morogoro vijijini na unahitaji kazi ya uwakala wa sola , naomba tuwasiliane PM
Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,540 Reaction score 30,875 Jan 5, 2023 #2 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Jan 5, 2023 #3 Vigezo Kuna mtaji wowote natakiwa kua nao
D dadamlamayao JF-Expert Member Joined Nov 1, 2022 Posts 243 Reaction score 841 Jan 5, 2023 #4 Sola za Kampuni gani??kama ni ile Kampuni ya Kitapeli na Kijambazi ya MYSOL samahani sana,masola yao ni mabovu na imejaa UTAPELI sio wa Dunia hii,ni Kampuni ya MATAPELI NA MAJAMBAZI
Sola za Kampuni gani??kama ni ile Kampuni ya Kitapeli na Kijambazi ya MYSOL samahani sana,masola yao ni mabovu na imejaa UTAPELI sio wa Dunia hii,ni Kampuni ya MATAPELI NA MAJAMBAZI
Azizi Walter JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 221 Reaction score 139 Jan 6, 2023 #6 Wa mlimba je nao maana sijaona ukiitaja hapo