Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mbumbumbu mnafarijiana eti hiko ndo kikosi cha kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo hapahapa duniani.Unakumbuka ile penalty ya Kagere?Penalty waliyopewa Yanga si halali kabisa na huku Simba wachezaji wetu wakichezewa faulo ndani ya 18 na mwamuzi anapeta.
Kulikuwa na sababu gani kuamuru adhabu ya penalty bila kuwa na uhakika ama kujiridhisha kwa waamuzi wasaidizi?
Refa mbuzi mnyero unashangilia droo hapo,timu lako lile ndio linaenda kukutana na kina wydad 😂
Malipo hapahapa duniani.Unakumbuka ile penalty ya Kagere?
Mbumbumbu mnafarijiana eti hiko ndo kikosi cha kimataifa
Kafanyaje acha visingizio mbumbumbumanina refa
Ngoja mkapapaswe tena tano tanoKule watu wanacheza mpira sio mieleka kama mnavyofanya.
Na usijidanganye siku mkienda kucheza mechi za kimataifa unaweza kucheza mieleka yenu mkaendelea kubaki 11 uwanjani.
Mtu kama Lamine Moro ni kwa matumizi ya Tanzania tu ambapo kuvunja mchezaji mwingine inaruhusiwa ili mradi utopolo wanatafutiwa uhalali wa fslsafa yao ya mpira gimbi