Kazi ya waamuzi sita ni nini kama si matimizi mabaya ya pesa? Refa katuua Simba bila hata aibu

Mbumbumbu mnafarijiana eti hiko ndo kikosi cha kimataifa
 
Penalty waliyopewa Yanga si halali kabisa na huku Simba wachezaji wetu wakichezewa faulo ndani ya 18 na mwamuzi anapeta.

Kulikuwa na sababu gani kuamuru adhabu ya penalty bila kuwa na uhakika ama kujiridhisha kwa waamuzi wasaidizi?
Malipo hapahapa duniani.Unakumbuka ile penalty ya Kagere?
 
Kule watu wanacheza mpira sio mieleka kama mnavyofanya.

Na usijidanganye siku mkienda kucheza mechi za kimataifa unaweza kucheza mieleka yenu mkaendelea kubaki 11 uwanjani.
Mtu kama Lamine Moro ni kwa matumizi ya Tanzania tu ambapo kuvunja mchezaji mwingine inaruhusiwa ili mradi utopolo wanatafutiwa uhalali wa fslsafa yao ya mpira gimbi
Mbumbumbu mnafarijiana eti hiko ndo kikosi cha kimataifa
 
GSM anazidi kuwekeza kwa marefa. Nyie fuatilieni games za Yanga utaona madudu mengi. case study game na Gwambina.
 
Ngoja mkapapaswe tena tano tano
Si mlisema level zenu ni ahly ahly?

Mbumbumbu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…