Kazi ya WANASHERIA/MAWAKILI ni ipi?

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
Ni matumaini nyote hamjambo

Moja kwa moja kwenye mada, naomba kuwauliza wale MALAIKA wa Tanzania, je mnajua kazi ya Mwanasheria au Wakili?;??

Kama hamjuai kazi zao ni bora mkakaa kimya kuliko hizi shutuma mnawaletea.

Binafsi hakuna kitu nachukia kama USHOGA but siwezi kuingilia kazi ya mtu. Kazi ya hawa ndugu zetu ni hiyo. Wanatetea wauhaji sembese watatua na watatuliwa Marrrrrriindaaa?;?

Nimeleta hoja hii baada ya kuona tuhuma nyingi zinamwekelea SHANGAZI. Mwacheni shangazi afanye kazi yake. Amesomea kuwatetea waarifu na wavunjifu wa sheria na maadili.

Madaktari wanawatibu wagonjwa wa UKIMWI/HIV bila kujua waliathirika vipi so acha WANASHERIA au MAWAKILI wawatetee watuhumiwa.

NB: KILA MTU ANA MADHAMBI YAKE JAPO HATUYAJUI, KILA MTU ANA KAZI YAKE, SO TUSIINGILIANE KIMAJUKUMU.

SAY NO TO HOMOSEXUAL!!!!
 
Tuwe wakweli, Mashoga wamekuwepo tangu enzi na enzi, Baadhi wameuwawa, wengine wamefungwa, nchi nyingi zimeweka sheria kali dhidi yao lakini hadi leo wapo (wanaofanya hadharani na kwa siri) kote Duniani. Jiulize kwanini pamoja na jitihada zote za kukataza, watu hawaachi?! Kulikoni?

Kwa mtizamo wangu, Hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi na ndio maana linahitaji mkakati tofauti wa kushughulika nalo badala ya kutumia nguvu. Tunapaswa kuwekeza zaidi kwenye malezi ya watoto kingali wadogo kwa kuwafundisha maadili zaidi. Tutafunga maelfu lakini tatizo halitaisha.
 
Umeanza vizuri sana
Ila mwishoni Sijakuelewa

NILITEGEMEA UMALIZIE KWA KUSEMA SAY YES TO HOMOSEXUAL ILI MAWAKILI AMBAO HUTAKI TUWAHOJI WAPATE KAZI

MY TAKE:- USIJIFICHE UWANJA WA MPIRA UKATEGEMEA HAKUNA ANAYEKUONA

ANZA KUJITAMBUA WEWE BINAFSI KABLA YA KUJA NA UPUPU HUU

NATEGEMEA WATOTO WAKO PIA HUTAWAHOJI MAANA WANA HAKI KIKATIBA YA FREEDOM TO PRIVACY
 
Duh! Wa Nkwenda bwana, eti ni hipi? Wauhaji...

Nakuchokonoa tu...ila bwanae hii mishoga inaungwa mkono sana na nchi za kipunga na ndo zilituletea dini aisee!soooo Saaaad; lkn mm nadhani hatuna haja ya kutangaza sana bali kuwafinya kimya kimya. Maana wale jamaa wa mambo ya the....you know...and.. Oukay...wakiamua kukuvaa kwa hii kadhia unaweza usiamini
 
Jaribu kunisoma vizuri. Binafsi sitetei Ushoga. Nawashangaa wanaowaponda mawakili na wanasheria wanaowatetea. Soma hata kichwa cha Uzi tu utaelewa.
 
Tuwaache mawakili na wanasheria wafanye kazi zao. Mbona hutuwashangai wanasheria wanaowatetea wauaji?!? Yaani MTU kaua kinyama then anatetewa.

Hii ndo kazi yao
 
Hapa utajua kumbe kila mtu anawaza kinyake na ana mtazamo wake ingawa wote tunaongea lugha moja ila maneno tofauti
 
Hapa utajua kumbe kila mtu anawaza kinyake na ana mtazamo wake ingawa wote tunaongea lugha moja ila maneno tofauti
Toa kwanza majibu yako kichwani kisha soma vizuri Uzi huu utaelewa.
 
Sorry kwanza kama nitakuwa nilikuelewa vibaya

Lkn hoja yangu iko hapa

Kwamba ni kweli hiyo ni kazi ya Wakili kumtetea YEYOTE maadam Katiba imeruhusu hivyo.. Hata Muuaji hutetewa..

LAKINI HUJAWAHI KUSIKIA WAKILI ANAYEMTETEA MUUAJI AKIJITAPA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA NAWAKOMESHA NGOJA NIMTETEE MUUAJI!!!!! ANA HAKI YA KUUA MAANA NI HIARI YAKE!!!! (ana haki ya kufiwa Maana Ni meli wake)

Khaaa!!!!!!!!

HUKU UKIJUA KUWA KATIBA NA SHERIA UNAYOTAKA KWENDA KUITUMIA KUMTETEA MTU WAKO IMEKATAZA TENDO HILO

Mtu Kama WAKILI tunayetegemea AWE MWENYE KUSIKILIZA ZAIDI KULIKO KUROPOKA ameamua kumtetea Shoga sawa!!! Ni kazi yake.. Kwa nini sasa amtumie huyo Kuwa MTAJI Wa kushushua KATIBA ambayo ni Valid hadi sasa????

Kama Unaona haifai you know what procedure/process to take ili kubadili kile uonacho hakifai.. Siyo njia inayotumika kwa sasa

You know what?????? POLITICAL AFFILIATIONS HAS TAKEN PLACE IN THIS ISSUE

HILO NDILO TATIZO LANGU MKUU.. sorry kama nimekukwaza in any way
Toa kwanza majibu yako kichwani kisha soma vizuri Uzi huu utaelewa.
 
Hadi mda huu sijafungamana na upande wowote.. maana naona kabisa kuna ulazima wa watu kuwaza tofauti na mazingira yaliopo.. ndio Maana Mungu huwa anaangalia UWEZO WA MTU KULIKO UDHAIFU WAKE, ILA BINADAMU HASA WAAFRIKA TENA WATANZANIA, TUNAANGALIA UDHAIFU WA MTU KULIKO UWEZO NA HATUAMINI KAMA MTU MWOVU ANAWEZA KUWA MFANO MZURI WA KUIGWA KAMA JAMII ITAAMUA KUMSAIDIA..
ROHO I, RADHI LAKINI, MWILI U DHAIFU.
(naamini umenielewa sasa)
Toa kwanza majibu yako kichwani kisha soma vizuri Uzi huu utaelewa.
 
Bado sijakuelewa
 
Nimeelewa vizuri point yako. But unapaswa kujua wanasheria/mawakili ni wafanya bihashara, na bihashara ni matangazo ndo maana ikitokea kuna kesi maarufu wanasheria weeeeeengi ujitokeza na utoa huduma bure ili wajitangaze. Naamini wanaropoka (kama ulivodai hapo juu) ili wapate soko. Sijui ka nimeeleweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…