Kazi yangu imenifanya niwe 'Domo Zege'

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,150
Reaction score
2,325
Yaan kazi yangu imenifanya nipate pisi kali kibao. Sijawahi kutongoza dem ile kisiriazi. Sijawahi kukosa/kunyimwa namba ya simu na demu. Musiniulize kwanini

Sasa hali hiyo imenifanya nimesahau kabisa kutongoza ile kawaida (yaani ile kutumiana vocha, picha, kusubiliana maeneo flan, kuambiana nakupenda /nakuhitaji n.k)

Mfano juzi kati flan nimekutana na pisi flani ambayo kiukweli anafaa kuwa wife ila nikashindwa kumpa mistari konki ta kiusiliazi. Sikutaka kutumia heshima ya kazi yangu, nilitaka ajue nampenda kweli kweli
 
Nikupe tuition? I charge premium though, plus utanipa one year free entry for two kila upigapo mziki vvip section.

Hutojuta.
 
Comments!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Muuza genge utatongozaje wakati we ndio unatongozwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…