Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Mleta mada mrejesho umepata au bado maombi bado unapokea au nimechelewa deadline?
Hahahaa. Mumy mie naona kama ushachelewa vilee [emoji12] [emoji12]

Sababu ni more than month now au ndio atakuwa anaendelea kuchuja. Ngoja mleta uzi aje atwambie. Hahahaaaa.
 
Hahahaa. Mumy mie naona kama ushachelewa vilee [emoji12] [emoji12]

Sababu ni more than month now au ndio atakuwa anaendelea kuchuja. Ngoja mleta uzi aje atwambie. Hahahaaaa.
rafiki anaweza akatengua uteuzi ujue ngoja tupige soga za mashia wakati tunamsubiri mleta mada,jana nliwacheki nikawaonea donge kila nkikoment kuhusu mashia waunganisha swala inakataa comment
 
rafiki anaweza akatengua uteuzi ujue ngoja tupige soga za mashia wakati tunamsubiri mleta mada,jana nliwacheki nikawaonea donge kila nkikoment kuhusu mashia waunganisha swala inakataa comment
Pole mwaya. Ila kwetu mbona ilikuwa inakubali.

Au ulipokuwepo mtandao ulikuwa chini nini?
 
Pole mwaya. Ila kwetu mbona ilikuwa inakubali.

Au ulipokuwepo mtandao ulikuwa chini nini?
Huwa inantokeaga naandika comment ndefu napost najua nimecoment kumbe hakuna nashtuka baadae mbona uzi unatembea sipati notifications naangalia sikuti,basi nakasirika siandiki tena
 
Huwa inantokeaga naandika comment ndefu napost najua nimecoment kumbe hakuna nashtuka baadae mbona uzi unatembea sipati notifications naangalia sikuti,basi nakasirika siandiki tena
Ulipitwa jamaani sababu story zilinoga hasaaa.

Siku nyingine mwaya.
 
Wana JF, natumaini mko salama,

Kwa heshima zote, naandika from my heart. JF ni platform inayowakutanisha Watanzania wote, ni matumaini yangu kumpata ninayemtafuta kama jinsi nyinyi ambavyo mmepata kujifunza mengi kutoka kwenye thread zangu mbalimbali.

Kuanzia June inayoanza kesho, lengo langu kubwa na la pekee ni familia. Mimi ni mfanyakazi, mazingira ya kazi yananinyima muda wa ku-mingle out. I'm always scheduled, kwa wenye kazi kwenye corporate institutions mtanielewa, japo sio vitengo vyote watu huwa busy.

Naomba kama kuna mwanaJF au ana ndugu/rafiki yake mwenye hitaji kama langu, tuwasiliane. Naomba mfahamu andiko langu ni serious, na pengine kuliko kuni-flag out kama kawaida ya kizazi kipya cha JF, labda muache nafasi kwa mtu mmoja tu, maoni yenu yana yana nafasi kubwa ya kumvunja moyo au kumtia moyo ya kuwasiliana na mimi na hatimae akaitwa Mke wangu.

Niwe clear kwenye jambo moja: Mke wangu mtarajiwa naomba uwe Mkristo, una Diploma au Degree na unaishi Dar es Salaam.

Mambo kama umri, rangi, kabila n.k. ni juu yangu na atakeyjitokeza.

Ninawaahidi nitazidi kuandika Articles za mada mbalimbali za kitaaluma na kuelimishana.

Thank you JF.
Mungu akujalie upate hitaji la moyo wako??
 
Mmh. Sijuagi kwa nini nimejikuta nawaza ninachokiwaza lol.

Haya Mkuu Kila la kheri Mkuu katika kumpata mwenza hasa humu ndani ya jf kama matarajio yako Mkuu.
Sasa si ujitolee wewe uwe mke wake? Au hujapenda kazi yake?
 
Back
Top Bottom