Kazi yoyote mahala popote maslahi si tatizo.

Kazi yoyote mahala popote maslahi si tatizo.

Sunman

Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
32
Reaction score
3
Hbr wana jf mm na Diploma ya Accountanc kwel kazi imekua tatizo nipo tayar kufany kz yoyote ile cjali kuhusu maslahi..msaada wenu wana Jf.
 
Thnx kwa ushauri wako but natafut job cz kifinance cko pouwa ningeongez ujuzi.
 
UJE DUKANI KWANGU SALARY ELFU 50,000 per month..........kazi inaanza j3 to jmoc........muda wa kazi kuanzia saa2 asbh mpk sa4 ucku..........tabata
 
Kwani aliandika financial status yake au unasema tu nimlipie ada?
 
Hbr wana jf mm na Diploma ya Accountanc kwel kazi imekua tatizo nipo tayar kufany kz yoyote ile cjali kuhusu maslahi..msaada wenu wana Jf.

Ni-PM nikuelekeze mahali utapata kazi....vyeti vyako viwe clean na uwe na "bargaining power". Karibu sana.
 
Back
Top Bottom