Hans Michael Tesha
New Member
- Sep 5, 2014
- 3
- 1
nasikia wanachomoa mmoja, wawili au watatu kwa wiki..waliofaulu na waliofeli wote hawajui..unapewa taarifa leo kesho mkeka unatoka.Habari wanajamii.
Natumaini wote wazima.
Hivi zile kazi za afisa ugavi 340 za mwaka jana agosti naomba kuulizia hivi nafasi zote zimeshapangiwa kwa waliofaulu??
sio kweli..mchanganyikonafas 340 zishatia saiz naon wanachukua wa database tu
hii inawezekana kweli maana ukifuatilia mkeka iliotoka na nafasi za afisa ugavi tokea mwanzoni mwaka huu baada ya oral hawafiki hata 200. Daah nchi hii sijui tunaelekea wapinasikia wanachomoa mmoja, wawili au watatu kwa wiki..waliofaulu na waliofeli wote hawajui..unapewa taarifa leo kesho mkeka unatoka.
kwel zishaisha saiz wanachukua wa database tusio kweli..mchanganyiko
fatilia vizuri mkuu..vip na zile za afisa biasha,Afsa hesabu daraja 2 na msaidizi wa hesabu daraja 1 nazo zilishaisha?kwel zishaisha saiz wanachukua wa database tu
Acha upotoshaji. Hao uvccm wapo wanakula vumbi.Hizo za uvccm
mbona mikeka yana afisa ugavi hawafiki hata 300 tokea january hiikwel zishaisha saiz wanachukua wa database tu