Kazi za African Union-Inakuwaje Hii

Kazi za African Union-Inakuwaje Hii

ChaMtuMavi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2008
Posts
330
Reaction score
9
Angalia: Program Cordinator P-5
Vacancies

Najaribu kufungua link ya kiingereza haifunguki. Imekaaje hiii???

 
fungua kiunganishi cha lugha tofauti kama kifaransa au kiarabu kisha tafsiri kwa kiingereza then fanya mambo
 
fungua kiunganishi cha lugha tofauti kama kifaransa au kiarabu kisha tafsiri kwa kiingereza then fanya mambo

sijakupata hapo...kwamba nitafute mkalimani atafsiri au yaweje?
na kwa wengine tulipo si city centre na wafaransa/wakalimani hawapo
huu ni uhuni jaman,ebu unaolewa zaidi manuva mnihabarishe

najuta kukimbia darasa la kifaransa
 
Nadhani hapo kuna makusudi inafanyika, in amaana wote tuasome kiarabu, faransa na kipotugisi?

Huo ndo ukiritimba, wakitaka kuengua watu fulani basi wanajifanya kuna tatizo la kiufundi.


 
Hapana kuna tovuti zanazotoa huduma za kutafsiri tena bure kama google.com ingia kwenye language tools utaweza kutafsiri kitu kwenda lugha karibu zote kuu duniani
 
By the time umefanikiwa kutafsiri deadline imepita!
 
Back
Top Bottom