Kazi za biomedical engineering Tanzania zipo

Hasa kwa hii coz ya biomedical inahtaj msul mzito ili kuchomoa 3.5
 
Kuwa chini ya department ya ELE ina maanisha inahusika na umeme? Kwa hiyo ingekua chini ya departmement ya mechanical ingekua inahusika na mechanical si ndio??? Na ingekua chini ya dept ya civil ingekua inahusika na civil si ndio unachomaanisha?
Absolutely,,,na ndomana vitu kama maji,civil,mining,irrigatiin vinakuwa chini ya derpartment moja
 
Hata civil engineers wana modules za umeme...lakini haimaanishi civil inahusiana na umeme!!!
Module ya umeme anayosoma civil ni moja tu ambayo hata computer nao pia wanaisoma,,,,nayo electrical installation,,,na kuna kozi za mech ambazo pia kozi zote wanasoma kozi kama workshop tech.
 
Hapa kuna mnachanganya, kozi zote za engineering..mwaka wa kwanza na wa pili wanasoma masomo yanayofanana..hii ni fact!! Ila wakifika point flan wanaanza achana!!! Na hapa ndipo nnaposema biomed na ele ni vitu viwili tofauti other wise wangesoma masomo yote mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho yanayofanana!!!

Kwa level ya degree mwaka wa 1 na wa pili wanasoma basics za eng na hii ni kwa kozi karibia zote za eng!! Ila mwaka wa 3 na 4 wanaachana...mtu wa civil anasoma yake mtu wa mech anasoma yake na hata kama wataingiliana basi ni kozi chache hasa za management!!!

Kwa point yenu mnamaanisha mtu wa biomed anaweza fanya kazi za mtu wa ele kitu ambacho si sahihi kitaalamu!!!
Hio course iko under electrical department na wanafunzi husoma masomo sawa kabisa na watu wa umeme pure mpaka mwaka wa tatu ndo biomedical wanajitenga ila Tele,bio and electronics ni ndani electrical engineering
 
Absolutely,,,na ndomana vitu kama maji,civil,mining,irrigatiin vinakuwa chini ya derpartment moja
Ele na biomed si sawa japo wana share modules hasa mwaka wa kwanza na wa pili... mtu wa biomed haezi fanya kazi kama mtu wa ele and vice versa....
 
Hapa kuna mnachanganya, kozi zote za engineering..mwaka wa kwanza na wa pili wanasoma masomo yanayofanana..hii ni fact!! Ila wakifika point flan wanaanza achana!!! Na hapa ndipo nnaposema biomed na ele ni vitu viwili tofauti other wise wangesoma masomo yote mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho yanayofanana!!!

Kwa level ya degree mwaka wa 1 na wa pili wanasoma basics za eng na hii ni kwa kozi karibia zote za eng!! Ila mwaka wa 3 na 4 wanaachana...mtu wa civil anasoma yake mtu wa mech anasoma yake na hata kama wataingiliana basi ni kozi chache hasa za management!!!

Kwa point yenu mnamaanisha mtu wa biomed anaweza fanya kazi za mtu wa ele kitu ambacho si sahihi kitaalamu!!!
Wewe unapenda kubishana,,biomedical na electrical wanafanana kozi nyingi mpaka mwaka wa mwisho ni kama civil na mining,,,,,,punguza ubishi mkuu
 
we ndie unabishana....soma hii post...
Nahisi hata huelewi unachoandika
Hio course iko under electrical department na wanafunzi husoma masomo sawa kabisa na watu wa umeme pure mpaka mwaka wa tatu ndo biomedical wanajitenga ila Tele,bio and electronics ni ndani electrical engineering
Umeelewa?
 
we ndie unabishana....soma hii post...
Nahisi hata huelewi unachoandika

Umeelewa?
Bado kuna kozi za electronics bado wanashare kama power electronics na cotrol cct,,sasa unachobisha sijui ni nini kwa msaada zaidi tafuta prospect ya dit angalia kwanzia mwaka wa kwanza mpaka wa mwishoo hawaachani sana
 
Nimekuelewa mkuu....tulikua hatujaelewa ila wote tuna maanisha kitu kimoja!!!
 
Biomedical Engineers tunawahitaji zaidi kuliko Maafisa Habari sijui walimu wa Kiswahili (Mofimu)
 
Kila mtu asome anachokiweza na anachokipenda kwa sababu kila profession ina umuhimu wake. Uhaba wa hao biomedical engineers usikufanye uone professions nyingine si kitu na waliosomea ni wajinga.
 
Kuwa chini ya department ya ELE ina maanisha inahusika na umeme? Kwa hiyo ingekua chini ya departmement ya mechanical ingekua inahusika na mechanical si ndio??? Na ingekua chini ya dept ya civil ingekua inahusika na civil si ndio unachomaanisha?
Asee
 
Back
Top Bottom