Kazi za "census" wameshapeana?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
wakuu kwa muda sasa nasikia kuhusu sensa ya 2012, vipi wameshaajiri watu? Vipi maslahi yao huwa yanakuwaje?
 
Mkuu tafuta kazi ya kudumu acha kunyemelea kazi za msimu.
 
Hzo kazi huwa wanapewa walimu..we angalia ustaarabu mwingne tu.
 
Hawa jamaa nafasi wanagawiana kifamilia. Ki ukwel hata sijui zinapatikanaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…