Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Huu mradi upo wapi mkuu?Ni kujibana tu atafanyaje sasa!? au aende kwa wamorocco elf 15 kwa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mradi upo wapi mkuu?Ni kujibana tu atafanyaje sasa!? au aende kwa wamorocco elf 15 kwa siku
Nimeandika kitu ninachokijua sana na wala sibahatishi.Dish washer ni sehem ya chef wale. Pape lazima ujue majina ya vyombo vyote.. sio swala la kujua siku moja
Dishwasher ni watu wanaotokea kwenye jiko la maana mkuu sio kijiko kidogo. Gardener bila shaka anaweza kupata sio hiyo. Mm ni chef kabisa nakupinga kwa sabab nyingi za kiutendajiNimeandika kitu ninachokijua sana na wala sibahatishi.
Msikiti wa forodhani kwa pembeni ukifika unakuta mafundi wapo wengi tu paleHuu mradi upo wapi mkuu?
Hizo kazi sio kila mtu anaziweza mzee.. watu wanakimbiag na kuacha helaAkafanye kazi za ujenzi aache uvivu.
Acha upuuzi wa kipumbavu nimeunga watu wawili kwenye group hapa wamenimia number inbox waseme kama wametapeliwaKwanza kua makini na hao waliotoa namba na kukuita inbox sijui kazi kwenye group, UTATAPELIWA kamshahara kako kooooote,
Tembelea Paje, Kendwa, Nungwi kuna hotels tele kule nenda kaulize hizo kazi watakupa muongozo, usiishie kwa walinzi omba kuonana na supervisors wao,
Kwa kua una Smartphone google hotels za maeneo hayo chukua contacts na uwapigie kwa maombi ya kazi,
Good luck
Narudia tena kukwambia nimeandika kitu ninachokifahamu sibahatishi wala sihitaji elimu katika hilo naijua vizuri sekta ya hoteli na utalii kwa ujumla wake. Ni nini maana ya kumtrain mtu? watu wanakuwa trained from the scratch na wanaperfom bila shida yoyote. Kumwelekeza mtu kussort na kusafisha vyombo inahitajika muda gani? Hebu nieleze chuo kinachofundisha specififaclly course ya dish washer kwa hapa TZ, Kama siyo linafundishwa kama somo la hygine and Sanitation?Dishwasher ni watu wanaotokea kwenye jiko la maana mkuu sio kijiko kidogo. Gardener bila shaka anaweza kupata sio hiyo. Mm ni chef kabisa nakupinga kwa sabab nyingi za kiutendaji
Imagine kaja trainee kakwambia anataka half dish au dish namba 6. Au anataka glas za dizati
Nimemtahadharisha mtoa mada wewe yamekusibu yepiii!? kwa jinsi ulivyopanic lazima kuna jambo watakuja tu kusema muda badoAcha upuuzi wa kipumbavu nimeunga watu wawili kwenye group hapa wamenimia number inbox waseme kama wametapeliwa
Gardener ni fursa kwa kiwango cha chini hata nyumba za Airbnb hapa paje wanaajiriwa kila siku bila elimu. Primarily kufagia na kulima kupanda na kumwagilia maua tu. Huwezi kukuta hoteli ndogo inaweka dishwasher so, ndo mana nasema kumuweka mtu hoteli aoshe viombo na kutoa taka nje ya kitchen inaitajika operesheni kubwa kwelikweli y buffet na a la carte.Narudia tena kukwambia nimeandika kitu ninachokifahamu sibahatishi wala sihitaji elimu katika hilo naijua vizuri sekta ya hoteli na utalii kwa ujumla wake. Ni nini maana ya kumtrain mtu? watu wanakuwa trained from the scratch na wanaperfom bila shida yoyote. Kumwelekeza mtu kussort na kusafisha vyombo inahitajika muda gani? Hebu nieleze chuo kinachofundisha specififaclly course ya dish washer kwa hapa TZ, Kama siyo linafundishwa kama somo la hygine and Sanitation?
Pia jikite kwenye kumsaidia mleta uzi kuliko kutumia muda mwingi kutaka kunielimisha mimi. asante.
Hata hiyo garderner nayo inahitaji kumfundisha mtu make kuna jinsi ya kutrim maua nk
Mm pia siku moja moja napiga hizo za ufundi kwa unguja zinalipa kias. Paje hapa saidia ni elfu 20 na fundi kamili ni 35.Ni kujibana tu atafanyaje sasa!? au aende kwa wamorocco elf 15 kwa siku
Halafu nikaisoma kama ulivoandika yaani, nilikuwa nafikiria hapa ni kilugha gani hicho, kumbe ni hizi burandi kubwaaaGugo na utube
Mtu unaweza Jifunza mengi ikawa kama unayajua kwa bidii binafsi.
Halafu nikaisoma kama ulivoandika yaani, nilikuwa nafikiria hapa ni kilugha gani hicho, kumbe ni hizi burandi kubwaaa
Kwa taratibu za unguja lazima ujitoe kwenda mwenyewe hotelini. Utajitolea miez mitatu ndo uwe mtaalam wq hizo ishu. Uko sehem gan kwa hapan
Ushaur mzuri sana mkuuHuyo alyekupatia wazo la kujitolea ungejaribu kumtumia pia akuongoze. Lakini kwa kukusaidia kazi pekee unayoweza kupata hotelini bila kusomea ni dishwasher ( Steward) Ama upate housekeeping na hili kuipata hiyo inabidi wakuhurumie sana manake sera ya trainee kwa Zanzibar imebadilika kwa kiwango kikubwa mno. Kwanza ili uweze kuchukuliwa kama Trainee lazima uombe nafasi kupitia wizara ya utalii na mali Kale na ulipie kiasi cha shilingi laki moja ( Hii kama umetoka bara) lakini pia hoteli itayokuchukuwa inatakiwa kukulipa mshahara na kukatia bima ya afya hivo unaweza kuona ugumu ulipo kulingana na bajeti.
Kuna mahali umesema mshahara wa kwenye kazi ya ulinzi ni mdogo, ninachofahamu kima cha chini cha mshahara Zanzibar ni 300k na ndiyo hiyo utakayolipwa hata huko hotelini. Ahueni kidogo utakayopata ni pale utakapo pata hotel inayotoa huduma ya kulala kwa wafanyakazi wake.
Ushauri jichange na hicho kidogo unachopata rudi chuo miezi 9 tu pata cheti chako njoo omba kazi hotelini. Kama wewe ni mzuri kwa kiingereza somea hospitality operation ambayo inahusisha idara zote hotelini na utakuwa na wigo mpana wa kufanya uchaguzi wakati wa kuomba ajira. Kama unataka kazi ya kudumu mpaka uzeeke au uache mwenyewe kwa hotelini soma Pastry and Bakery au food production. Hizi nyingine kama front office, Bartender, Barman, waiter na waitress zinakupa tips lakini ni za muda mfupi. Huo ndo ushauri wangu.
Chuo bora kwa kusoma ni National college of Tourism DAR na Arusha au vyuo binafsi vipo vingi mitaani.
Peeka cv mwenyewe kwenye hoteliKivipi kiongozi mana. Nlikuwa natafuta comment ya maana kama hii.
mkuu nisaidie connection ya kazi niko hapa zanzibar mpambanaji mwenzio sielewi kabisa.Peeka cv mwenyewe kwenye hoteli
Sio kukimbia na kuacha hela tu bali mtu anaiba nguo zake.Hizo kazi sio kila mtu anaziweza mzee.. watu wanakimbiag na kuacha hela
0628852919 Namimi nipo zanzibar hapa nice rKuna group la ajira za mahotelin Zanzibar weka number nitumie admin aku add
0628852919🙏🏾Kuna group la ajira za mahotelin Zanzibar weka number nitumie admin aku add