Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kiwanda Cha Rasta zakiemu MbagaraKwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa..
Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo.
Unaweza kushare hapa
Kuna vile vya pale nyuma ya stand kuu zakhem jaribu paleKwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa.
Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo.
Unaweza kushare hapa
Kijiji Cha jaribu ndo jina la eneo..?Kuna vile vya pale nyuma ya stand kuu zakhem jaribu pale
kuna vile vya cement mkuranga na kigamboni pia jaribu
kuna kimoja cha tills kipo mpakani mwa jaribu (kijiji cha jaribu)
huko kote hutakosa
Kituo Cha kushukia ili nifike kirahis ni wap..?Kuna kiwanda kiko keko _chang'ombe kinaitwa CELLO nenda pale utaonana na mlinzi muombe utaratibu ila kumbuka mwisho wa siku watakudai elfu ishirini ili uingie huko uanze kazi.
Malipo ni kwa week .
Chakula cha mchana kipo
Ni watengenezaji wa viti na meza za plastic
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipo mbagala ila unapanda gari za kongowe unashuka kokoto.Hiki kiwanda Kuna watu wanasema kipo Mbagala wengine wanasema kipo Kongowe.. maana navyojua Mimi ni maeneo tofauti japo hayapo mbali sana
MkiuKijiji Cha jaribu ndo jina la eneo..?
Aisee kuna kiwanda kinaitwa darling wanaingia asubuh saa 12 wanatoka usiku saa 12 kwa siku 5000 yaani wakiwa wanatoka ni kama wanafunzi wanatoka darasaniHizo kazi zipo sana katika mkoa wa pwani haswa kuanzia Mwandege hadi Mkuranga, changamoto kubwa ni malipo maana wanaanzia shilingi 5,000.00 hadi 6,000.00 kwa siku. kama unaishi maeneo hayo ni nafuu kidogo ila kama utahitajika kulipa nauli hamna kitu. Pia wachina wanakaba mwanzo mwisho hakuna kupumzikaa labda session ya Lunch tu tena waweza kukupa dk 30 tu.
kwa anayetokea mbezi naomba direction mkuuMkuu nipe mawasiliano Yao na namna gani naweza kuomba/kufanya hyo Internship..?
maelekezo jinsi ya kufika natokea mbeziKuna kiwanda cha GYPSUM kinaitwa knauf wametangaza internship kipo maeneo ya kisemvule pale
Panda gari mpaka mbagala rangi 3 ukifika panda gari za mkurunga mwambie akushushe yebo yebo au unaweza ukapanda gari za kisemvule ukatembea sio mbali sanamaelekezo jinsi ya kufika natokea mbezi