mashine Member Joined Feb 24, 2013 Posts 90 Reaction score 27 Feb 21, 2017 #1 Mwaonaje kazi za mawaziri hasa kwa kipindi hiki cha Magufuli. Maana naona kama wahusika ni watatu tu kama si wanne kiutendaji.
Mwaonaje kazi za mawaziri hasa kwa kipindi hiki cha Magufuli. Maana naona kama wahusika ni watatu tu kama si wanne kiutendaji.