Kazi za muda mfupi za kompyuta

Kazi za muda mfupi za kompyuta

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
6,716
Reaction score
12,116
Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni raia wa kawaida hapa kisarawe kwa Sasa naomba msaada wa kusoma kozi za muda mfupi kwa jiji la Dar es salaam,hivyo kama kuna mdau yeyote anayefahamu eneo wanalofundisha hizo kozi za muda mfupi aje hapa jukwaani anisaidie,iwe miezi mitatu, miezi sita .Ni mimi kimbendengu Asanteni
 
Mods nisaidie kurekebisha hilo neno kazi lisomeke Kozi
 
Back
Top Bottom