Kazi za Rais na Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni zipi?

Kazi za Rais na Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni zipi?

KAteme

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
483
Reaction score
907
Kwa wale wabobezi wa jinsi Serikali ya JMT inavyofanya kazi mnaweza kutusaidia kutuelezea job descriptions za Rais na Mawaziri wake.

Na ikiwapendeza mnaweza kuongezea na zile za Wakuu wa Mikoa na Wilaya zetu. Nauliza hivi ili tusiyojua, tujue ni nani tumpongeze au tumlaumu punde viongozi hawa wanapofanya vizuri au vibaya katika kazi zao.

Ahsanteni.
 
Kwa Tanzania kazi za mawaziri ni kujipanga mstari kumpokea kwa kupiga makofi rais anapofanya ziara
 
Ni kuangalia mitandaoni wananchi wanasemaje ndio wanaita waandishi wa Habari na kulizungumzia simple

Kila mmoja anaweza hiyo kazi hata dereva wa waziri anaweza kurithi mikoba akitaka
Ni kwenda kufungua Bomba la maji zahanati
 
Back
Top Bottom