Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

Anna Mwandosya

New Member
Joined
Apr 5, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1.

Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
 
Nafikiri unai upload kwenye system tena... kuna username na password zinatumwa kwenye email uliyojaza.

Ukisha maliza ku sainisha form, rudi kwenye system, kuna kitufe kimeandikwa "huisha maombi" click, then fuata maelekezo!
 
Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1.

Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
Zikisha sainiwa scan halafu ingia katika mfumo wa NBS kwa kutumia email na password ulizotumiwa ili kumalizia maombi then hizo barua toa copy hizo copy uzipeleke ofisi za kata
 
Hivi kopi ni lazima si namuachia tu likaratasi
 
Back
Top Bottom