Anna Mwandosya
New Member
- Apr 5, 2021
- 3
- 2
Zikisha sainiwa scan halafu ingia katika mfumo wa NBS kwa kutumia email na password ulizotumiwa ili kumalizia maombi then hizo barua toa copy hizo copy uzipeleke ofisi za kataNimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1.
Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
Ndio asantMleta mada natumae umepata muongozo...
Hivi kopi ni lazima si namuachia tu likaratasiZikisha sainiwa scan halafu ingia katika mfumo wa NBS kwa kutumia email na password ulizotumiwa ili kumalizia maombi then hizo barua toa copy hizo copy uzipeleke ofisi za kata
Kwani kuna barua?Hivi kopi ni lazima si namuachia tu likaratasi
Wewe tu ila katika maelekezo yao walisema copy za barua zako zipelekwe kataHivi kopi ni lazima si namuachia tu likaratasi
Sjakuelewa hapa mkuuKwani kuna barua?
Ni lazima acha ofisi ya kata ,kuna baadhi ya watu wanadharau kamati ya sensa ya kata ndio itaanza mchakato wa kuwapata watu sahihi na watutumia hiyo copyHivi kopi ni lazima si namuachia tu likaratasi