Kazi za tender za halmashauri miradi ya serikal mashule,zahanati

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo
Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata tende je nikweli?
 
Nest haina ukiritimba ila usiombee SEHEMU za Mjini, tafuta vijijin ili kuepuka competition na ukubali -kuweka bei ndogo ila upate kazi sana epuka tamaa za bei kubwa
 
Ongea vizuri na maafisa manunuzi wa Hospital au masoko hao ndio wanalupa au kukunyima tenda na usiwe mchoyo kutoa kidogo
 
Kama Kampuni yako ni mpya nakushauri ufanye JV na mtu ili upate uzoefu walau miradi 2 ama mitatu kisha Anza kuomba hizo kazi za Halmashauri na nyingine utakazoona una uwezo wa kuzifanya

Kwenye kazi mbalimbali zinazotangazwa za Ukandarasi, kigezo kikubwa ambacho huzingatiwa ni uzoefu wa Mkandarasi kwenye kufanya kazi za aina iliyotangazwa pamoja na competency ya watumishi ulionao pamoja na financial capability
 
Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo
Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata tende je nikweli?
Ni kweli
 
Kama Kampuni yako ni mpya nakushauri ufanye JV na mtu ili upate uzoefu walau miradi 2 ama mitatu kisha Anza kuomba hizo kazi za Halmashauri na nyingine utakazoona una uwezo wa kuzifanya

Kwenye kazi mbalimbali zinazotangazwa za Ukandarasi, kigezo kikubwa ambacho huzingatiwa ni uzoefu wa Mkandarasi kwenye kufanya kazi za aina iliyotangazwa pamoja na competency ya watumishi ulionao pamoja na financial capability
Mim sio kazi za ukandarasi nikazi za material ya ujenzi kusupply
 
Okay, nilidhani ni kazi za Ukandarasi

Kama ni kazi za uzabuni wa vifaa (Suppliers of Goods) huwa hawana vigezo vingi zaidi ya kujiunga nest pia uwe na certificate zote za tax,leseni ya biashara n.k

Ila nikusihi, jitahidi uwe na mtaji Mkubwa, kufanya kazi na Serikali huhitaji uwe na Presha ya malipo.

Kuna watu wanajikuta wana idai Serikali miezi 6/9/12 ama hata miaka 2 pasipo kulipwa

Otherwise uwe na packup ya Mkurugenzi wa hiyo Halmashauri
 
Kama Kampuni yako ni mpya nakushauri ufanye JV na mtu ili upate uzoefu walau miradi 2 ama mitatu kisha Anza kuomba hizo kazi za Halmashauri na nyingine utakazoona una uwezo wa kuzifanya

Kwenye kazi mbalimbali zinazotangazwa za Ukandarasi, kigezo kikubwa ambacho huzingatiwa ni uzoefu wa Mkandarasi kwenye kufanya kazi za aina iliyotangazwa pamoja na competency ya watumishi ulionao pamoja na financial capability
Kingine mumkumbushe awe na hela + uvumilivu maana kupata malipo una weza subiri sana
 
Ni sahihi, kuna sehemu nimemwambia kuhusu kuchelewa Kwa malipo mengi ya Serikali

Ndiyo maana wenzetu makampuni ya nje, hupenda kuwepo na kipengele cha riba Kwa Kila upande

Client akichelewesha malipo, atalipa fidia kiasi cha asilimia 1 ya contract sum Kwa Kila Siku malipo yanapochelewa

Na pia contractor/supplies analipa kiasi cha asilimia 1 ya contract sum Kwa Siku Moja anavyochelewesha kazi

Hii inasaidia kuwepo Kwa uwajibikaji Kwa pande zote
 
Hiyo ya riba nzuri, ila kwa serikali yetu hii mhhh😂😂.

sema mambo yame funguka, nao d. teke ana mwaga mpunga Huku Kanda ya ziwa
 
Kama mfanyabiashara lazima ukubali u-seriousness kwenye biashara yako, otherwise utafirisika

Kama Serikali inataka huduma yako, wawe tayari kuilipia katika muda mliokubaliana
 
Okay, nilidhani ni kazi za Ukandarasi

Kama ni kazi za uzabuni wa vifaa (Suppliers of Goods) huwa hawana vigezo vingi zaidi ya kujiunga nest pia uwe na certificate zote za tax,leseni ya biashara n.k

Ila nikusihi, jitahidi uwe na mtaji Mkubwa, kufanya kazi na Serikali huhitaji uwe na Presha ya malipo.

Kuna watu wanajikuta wana idai Serikali miezi 6/9/12 ama hata miaka 2 pasipo kulipwa

Otherwise uwe na packup ya Mkurugenzi wa hiyo Halmashauri
Ukiwa na backup ya afisa manunuzi vip hapo
 
Kama uko serious,njoo tufanye kazi
 
Back
Top Bottom